vipato vya kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Makazi Mapya Kwa watu wenye vipato vya Kati Dar/Pwani

    Ndugu wanajamvi. Kwa kasi yanukuaji wa jiji la Dar.es salaam ni dhahiri kwamba Mila basada ya Mila kumi.panaibuka makazi mengine ya kishua ukiachana na Yale ya uswazi anbayo yanakera sana na Hakuna ustarabu. Baadhi ya maakazi ya watu wa kipato cha kati na kishua ya hivi karibuni Ambayo Kwa...
  2. LIKUD

    Zijue faida hizi za MAKAGA Campaign kwa wazazi wenye vipato vya kati wanao somesha EMs ( wanao mudu kulipa ada Kwa wakati)

    MAKAGA ( Making Kayumba Schools Great Again ) Campaign ni kampeni maalumu ya kitaifa iliyo lenga kuwafungua ufahamu wazazi wenye vipato vya chini wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule za EMs wawatoe huko wawarejeshe shule za Kayumba. Kampeni hii inawahusu pia wazazi wenye vipato vya...
  3. LIKUD

    Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

    Mnapoteza pesa zenu tu bure kuwasomesha hawa watoto ambao mnawaita zoomers Generation (Gen Z) Nimewachunguza hawa watu. Nimeenda hadi chuo kimoja cha kati kusoma kozi ya miezi mitatu ili niwasome hawa viumbe. They have cut from a very different cloth. Don't waste your money please...
Back
Top Bottom