TRA kuweni serious !
Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya Biashara anataka Kodi kabla sijaingia.
Mwenye Nyumba ya kuishi anataka kodi kabla sijaingia,Manispaa...