Vipi je priority yako Ilikua ni elimu, matako makubwa, uzuri wa sura, financial status, mweusi, mnene mrefu? au ulijishtukia tu umeoa?
Nimepata mchumba, Bado nafiikiria kama nitamuoa, japo asilimia zimefika kama 67% nasubiri zifike 85% nimuweke ndani, Tabia kwa miezi 3 hii anaridisha, mcha...