vipigo majumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanaume kumpiga mwanamke ni ishara ya udhaifu

    Wakati mwingine ni kweli wanakuwa na maneno ya kuudhi au kwa lugha nyingine unaweza kusema wana mdomo, Kamwe huwezi kumbadilisha mwanamke tabia kwa kipigo, ni mtu mzima amelelewa kwao na wewe umelelewa kwenu mmekutana ukubwani, kila mtu na tabia yake. Tafuta njia mbadala ya kukaa naye na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…