"Ifahamike mpaka sasa tunaposimama kama Wabunge wa Mkoa wa Kigoma bado mahitaji yetu hayajatekelezwa ndiyo maana tunasimama kukumbusha na kuieleza Serikali sikivu ili iweze kufahamu namna gani watu wa Kigoma tunahitaji. Mikoa yote ya Tanzania imekwisha kuunganishwa kwa Barabara za Lami, imebaki...