Salaam,
Vipindi mbalimbali vya harakati za wanawake vinavyorushwa na Televisheni za hapa bongo vinavyoendeshwa na Watangazaji machachari Vina maudhui chonganishi(kwa mtazamo wangu).
Yaani Ni kama vinaonyesha au vinachochea Hali ya Ukinzani iliyopo kati ya Mwanaume na Mwanamke katika jamii ya...
Mimi binafsi nikitazama Televisheni huwa napenda kubadilisha badilisha ili nipate hata kipindi chochote nitakachojifunza kitu kipya kitakachonipa faida.
Mara nyingi mambo ni yaleyale huku kule ni shidaa.
Mimi naanza na kipindi Cha Dadaz. Hiki kipindi sijawahi kukielewa kabisa lengo lake ni nini. Kwanza mda wote watangazaji wanaongea bila kupeana zamu ya kuzungumza.
Na zaidi nachoona kinalenga kuwafanya mabinti wengi wasiolewe kwa jinsi kinavyopandikiza mbegu ya jeuri, ujuaji, ubabe na ukorofi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.