Imeelezwa kuwa Wananchi wamepiga Kura ya 'Ndio' kwenye mabadiliko ya Katiba yaliyopendekezwa na Serikali iliyomuondoa madarakani Ali Bongo na kumteua Jenerali Brice Oligui Nguema kuongoza taifa hilo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Hermann Immongault, Mabadiliko hayo...