Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu
Wamuulize luiza mbutu na dotinata
Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni
Na ya mkia...
Katika dunia ya leo, matumizi ya vipodozi ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Hata hivyo, wazazi wengi hawafahamu hatari zinazoweza kusababishwa na viambato sumu vilivyomo kwenye vipodozi hivi, hasa kwa watoto wachanga. Hapa tunaangazia madhara ambayo vipodozi vya kemikali vinaweza kuwa nayo...
Eheeee.
Habari nmeamua tu kukudokeza Uumbaji wa Mungu ni waajabu sana Mungu ametupa joto ambalo huwa linapungua na kuongezeka kulingana na mahali na vitu tunavyofanya. Shetani katika kutimiza malengo yake ameleta vitendea kazi ikiwepo Vipodozi vikali vya kujichubua n.k
Hivi Vipodozi vinapunguza...
Unadhani ni nini kinasababisha tatizo la dawa za kupunguza na kuongeza mwili (Kujenga Shape) na vipodozi vyenye madhara kuendelea kuwepo nchini licha ya madhara yake kujulikana? Unapendekeza hatua gani zichukuliwe ili kuondoa changamoto hiyo nchini?
Pia soma: Umeshawahi kununua dawa za...
Tunaomba Serikali yetu sikivu iangalie hili janga la Vipodozi Haramu vinavyouzwa kama njugu hapa Matui na bwana moja anayejieta ni Agent wa Vipodozi kutoka Congo, Zambia na South Africa, huyu mtu ambae anajieta Jina la hivyo Vipodozi anauza hadharani hivyo Vipodozi ambavyo vimepigwa Marufuku na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako na doria za nguvu na zenye tija katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio makubwa ikiwemo kukamata watuhumiwa 14 kati yao wanaume ni 11 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa kusafirisha vipodozi vyenye viambata sumu na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu (majina yanahifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi) wakazi wa Tunduma kwa tuhuma za kuingiza nchini vipodozi vya aina mbalimbali vilivyopigwa marufuku vyenye viambata sumu pamoja na bidhaa za magendo kupitia njia za panya.
Kamanda wa...
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV vipondozi vinatekezwa na mamlaka husika.
Ninavyojua mtu hawezi kuweka bidhaa kwenye duka lake ikiwa haina soko, tena bidhaa ambayo ni hatari kwake akikutwa na serikali.
Vipodozi hivi vinanunuliwa sana na watu ndio maana vinajazwa kwenye maduka.
Leo...
Habarini wakubwa heshima yenu
Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata...
Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yateketeza bidhaa zenye thamani ya takribani Sh Milioni 400 bidhaa hizo hazikidhi Viwango vya ubora na kuisha Muda wake wa matumizi. Kwa upande wa Vipodozi ni vile vyenye viambato sumu zisizofaa kwa matumizi kwa binadamu.
Dk. Kandida P. Shirima (Kaimu...
TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA VIPODOZI NA CHAKULA PAMOJA NA MAJENGO YA KUHIFADHIA NA KUUZIA BIDHAA HIZO KUJISAJILI KIELEKTRONIKI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 22 Agosti, 2022 imewataka wafanyabiashara wa Chakula na Vipodozi pamoja na wamiliki wa Majengo yanayotumia...
Malori manne ya mafuta ya Kampuni ya Lake Oil yamekamatwa Mkoani Songwe yakiwa yamebeba shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini ambayo yalikuwa yakitokea DRC huku madereva wa magari hayo wakiyatelekeza.
Meneja Ukaguzi wa Kampuni ya Lake Oil, Ali Sharif amesema magari yao yana mfumo wa...
Habari wana jamii
Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu
Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo
Pia vip kuhusu Location zake sahihi
Hapa chini ni Orodha ya Vipodozi vilivyo pigwa Marufuku
====
TANZANIA BUREAU OF STANDARDS
LIST OF BANNED COSMETICS
A “Cream” and “lotions” containing “Hydroquinone”
1. Mekako Cream
2. Rico Complexion Cream
3. Princess Cream
4. Butone Cream
5. Extra Clear Cream
6. Mic...
Mnamo tarehe 06.03.2022 majira ya saa 02:00 usiku, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Kata ya Chimala, Tarafa ya Ilongo Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya na katika msako huo alikamatwa mtuhumiwa EMANUEL MSIGALA [42] Mkazi wa Uyole – Mbeya akiwa amepakia na kusafirisha vipodozi...
Habari ndugu. Naumiza sana kichwa kwa imani yangu kwamba pesa ipo uswahilini kwenye biashara ndogondogo. Nawaza kwenda sehemu tajwa na kamtaji kidogo ninacho. Naomba mwongozo na ushauri juu ya biashara hizo kwa wanaoishi na wasioishi maeneo hayo. Natazamia kufanya mojawapo kati ya hizo. Naomba...
Na Mwandishi Wetu, Nachingwea
WATUMISHI wa umma katika taasisi mbalimbali wilayani Nachingwea mkoani Lindi, wamepatiwa elimu kuhusu madhara ya matumizi ya bidhaa hafifu hususani vipodozi ambavyo vimekatazwa kutumika nchini kutokana na kuwa na viambata sumu.
Mafunzo hayo kwa watumishi wa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.