Cha kwanza niwafahamisheni kuwa , kuanzie leo ondoa mawazo yako kuwa ili uwe na ngozi yenye afya ni lazima uwe na vipodozi vingi.Bali baadhi ya vipdozi havipendani na vingine, ukazidi haribu ngozi yako.
Leo nakupa mambo 5 ya kuzingatia, hata ukitumia mafuta aina moja tu, utakuwa na ngozi...