vipuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, App ya Biashara ya Vipuri Kama BeForward kwa Soko la Tanzania Itafanikiwa au ni Kupoteza Muda?

    Nina wazo la kuanzisha App ya B2B Multivendor ambayo itawaunganisha wauzaji wa vipuri vya magari na wanunuzi nchini Tanzania, kama vile BeForward, lakini kwa soko letu la ndani. App hii itawawezesha wafanyabiashara wa vipuri kuorodhesha bidhaa zao, na wanunuzi wataweza kutafuta vipuri kulingana...
  2. B

    Je, Unajua kwa sasa Vipuri vya Kompyuta bei imeshuka?

    ⚠️⚠️Je unatafuta vifaa vifuatavyo kwa ajili ya Laptop,Desktop,Tablet au Simu Yako?⚠️⚠️📌📌 ☑️Laptop Adapter ( Laptop & Macbook) ☑️Ram ya Laptop na Desktop ( DDR2,DDR3,DDR4 & DDR5) ☑️Laptop & Desktop Keyboard, Mouse Wire , Wireless Mouse ☑️Vioo vya Laptop, Tablet na Simu. ☑️Antivirus na...
  3. B

    Je, unatafuta vifaa (Vipuri) kwa ajili ya laptop/ desktop? Karibu

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite. Habar Ndugu, hata kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo. Je, unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu uliouzoea na...
  4. B

    INAUZWA Vifaa (vipuri) vya laptop & desktop

    𝘒𝘢𝘮𝘢 𝘜𝘯𝘢𝘵𝘩𝘢𝘮𝘪𝘯𝘪 𝘓𝘢𝘱𝘵𝘰𝘱/𝘋𝘦𝘴𝘬𝘵𝘰𝘱 𝘺𝘢𝘬𝘰 𝘜𝘴𝘪𝘬𝘶𝘣𝘢𝘭𝘪 𝘏𝘪𝘪 𝘐𝘬𝘶𝘱𝘪𝘵𝘦.....! 𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿 𝗡𝗱𝘂𝗴𝘂.... 𝘏𝘢𝘵𝘢 𝘒𝘢𝘮𝘢 𝘶𝘮𝘦𝘬𝘶𝘸𝘢 𝘜𝘬𝘪𝘵𝘢𝘧𝘶𝘵𝘢 𝘝𝘪𝘧𝘢𝘢 𝘷𝘺𝘢 𝘓𝘢𝘱𝘵𝘰𝘱/ 𝘋𝘦𝘴𝘬𝘵𝘰𝘱 𝘬𝘸𝘢 𝘒𝘪𝘱𝘪𝘯𝘥𝘪 𝘤𝘩𝘢 𝘯𝘺𝘶𝘮𝘢 𝘣𝘪𝘭𝘢 𝘔𝘢𝘧𝘢𝘯𝘪𝘬𝘪𝘰 𝘭𝘦𝘰 𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘚𝘶𝘭𝘶𝘩𝘪𝘴𝘩𝘰 𝘭𝘢 𝘊𝘩𝘢𝘯𝘨𝘢𝘮𝘰𝘵𝘰 𝘺𝘢𝘬𝘰 𝘩𝘪𝘺𝘰, 𝘍𝘶𝘢𝘵𝘢𝘯𝘢 𝘯𝘢𝘴𝘪 𝘭𝘦𝘰..!! 𝘑𝘦 𝘜𝘯𝘢𝘫𝘶𝘢 𝘬𝘶𝘦𝘯𝘥𝘦𝘭𝘦𝘢 𝘬𝘶𝘵𝘶𝘮𝘪𝘢 𝘒𝘪𝘧𝘢𝘢 𝘤𝘩𝘢𝘬𝘰 𝘬𝘢𝘵𝘪𝘬𝘢 𝘶𝘵𝘢𝘳𝘢𝘵𝘪𝘣𝘶...
  5. B

    INAUZWA Je unajua kwa gharama Nafuu Unaweza Kupata Vipuri (Accessories) kwa ajili ya Laptop/ Desktop yako?

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.....! Habar Ndugu.... Hata Kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/ Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo..!! Je Unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu...
  6. B

    Tunauza Vipuri ( Accessories)vya Laptop & Desktop.

    𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿 𝗡𝗱𝘂𝗴𝘂, 𝗝𝗘 𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔👉👉👉👉🔥🔥 𝗕𝗜𝗚𝗜𝗧𝗘𝗖𝗛 Siku hii ya EID 𝘁𝘂𝗻𝗮𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗲𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘇𝗮 𝗩𝗶𝗳𝗮𝗮 𝘃𝘆𝗮 𝗞𝗼𝗺𝗽𝘆𝘂𝘁𝗮 ( 𝗟𝗮𝗽𝘁𝗼𝗽 & 𝗗𝗲𝘀𝗸𝘁𝗼𝗽 ) 𝗽𝗮𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗦𝗶𝗺𝘂. 𝗧𝘂𝗻𝗮𝘂𝘇𝗮 𝗔𝗱𝗮𝗽𝘁𝗲𝗿, 𝗕𝗲𝘁𝗿𝗶, 𝗥𝗮𝗺, 𝗘𝘅𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝗹 & 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝗹 𝗛𝗗𝗗 ( 𝘂𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘁𝗼𝗳𝗮𝘂𝘁𝗶 ), 𝗠𝗼𝘂𝘀𝗲, 𝗞𝗲𝘆𝗵𝗼𝗮𝗿𝗱, 𝗩𝗶𝗼𝗼, 𝗦𝘆𝘀𝘁𝗲𝗺 𝗖𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲, 𝗛𝗱𝗺𝗶, 𝗩𝗚𝗔, 𝗗𝗩𝗜 𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲𝘀, 𝗖𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮, 𝗟𝗮𝗽𝘁𝗼𝗽 𝗻𝗮 𝗗𝗲𝘀𝗸𝘁𝗼𝗽...
  7. Serikali Kununua Vipuri na Vyuma Katika Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools

    SERIKALI KUNUNUA VIPURI NA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KILIMANJARO MACHINE TOOLS Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imekifanyia ukarabati mkubwa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools (KMTC) ikiwa ni pamoja na kujenga tanuri la kuyeyushia chuma (Foundry), ukarabati wa miundombinu...
  8. Vipuri feki upande wa simu ni vingi nchini

    Wakuu mimi ni fundi simu, changamoto niliyoona kwa spear za simu bongo feki ni nyingi sana na hiyo nimegundua baada ya kuanza kuagiza baadhi ya spears AliExpress. Nikagundua bongo feki nyingi, inafanya wateja wapoteze uaminifu na sisi maana anaona kama umefanya kusudi kumbe la hasha ni soko...
  9. Vipuri vya scania na bei zake

    Habari za usiku wandugu? Naombeni msaada kwa anayejua mahali ambapo naweza kupata vipuri vya scania na bei zake naomba anipe mwongozo. Item No. Description of items PRICE 2. Fuel filter 1R-0749 4 Air Cleaner 371-1799 5 Main element 151-7737 7 Water seperator CH10930. 8 Air...
  10. Waziri Mkenda awataka DIT waanze kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki. Ameyasema hayo Januari 28, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo ili...
  11. J

    TBS: Warsha ya Wadau wa vipuri na karakana za kuunda na kutengeneza magari

    TBS: WARSHA YA WADAU WA VIPURI NA KARAKANA ZA KUUNDA NA KUTENGENEZA MAGARI Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Y. Ngenya amefungua warsha kwa wadau wa Vipuri vya Magari na wamiliki wa karakana za kuunda na kutengeneza Magari. Warsha hiyo inafanyika hii leo Tarehe 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…