virusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

    Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni. Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!! Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
  2. Njombe: Baba abaka watoto na kuwaambukiza Virusi Vya UKIMWI (VVU)

    Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia. Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja...
  3. WHO yatahadharisha Virusi vya Mlipuko Marburg kuendelea kusambaa

    On 27 September 2024, the Rwanda Ministry of Health announced the confirmation of Marburg virus disease (MVD). Blood samples taken from people showing symptoms were tested by real-time reverse transcription polymerase chain reaction (RT-PCR) at the National Reference Laboratory of the Rwanda...
  4. Kampuni ya kuzuia virusi ya Urusi Kaspersky yajiondoa Marekani baada ya kupigwa marufuku

    Kampuni kubwa ya kuzuia Virusi ya Kaspersky Labs ambayo makao makuu yake yapo Nchini Urusi inajiandaa kuondoka Marekani baada ya utawala wa Rais Joe Biden kupiga marufuku uuzaji na usambazaji wa programu za kampuni hiyo. Kaspersky ambayo imefanya kazi Marekani kwa zaidi ya Miaka 20, imesema...
  5. Nimekuja kugundua kumbe mwanamke niliyefanya nae mapenzi jana kumbe ni muathirika wa virusi vya ukimwi( V.V.U)

    Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
  6. NIMR yaja na utafiti kugundua ni idadi gani ya watanzania waliambukizwa virusi UVIKO19, COVID19. Safi sana

    Tanzania inakwenda kuingia kwenye medani za kisayansi kwa lile 'jaribio lake la nchi nzima la kujiachia badala ya kujifungia kipindi cha korona'. A nationwide display of herd immunity at its best. Hii itatusaidia sana kujua je ni kwa kiwango gani hii 'herd immunity' imetubeba. Na itasaidia...
  7. Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu leo January 10,2024 ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam ambapo amesema katika mwaka 2023 jumla ya Watu 8,145,576 walipima Virusi vya UKIMWI (VVU) na Watu...
  8. Chanjo ya Virusi Vya UKIMWI (PrEPVacc) yasitiswa baada ya kutoonesha ufanisi

    Majaribio hayo yaliyoanza katika Nchi za Tanzania, Uganda na Afrika Kusini yamesitishwa kutokana na takwimu za waliochanjwa kuonesha Chanjo waliyopata haina ufanisi katika kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Majaribio yalikuwa sehemu ya mpango wa #PrEPVacc, ulioanza Desemba 2020 ambapo...
  9. Siku 470 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi

    SIKU 470 NIKIWA NA HOFU YA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI. [Sehemu Ya 1 ] Tarehe 1 mwezi wa 12 ya kila huwa tunaadhimisha siku ya UKIMWI duniani. Katika kutambua umuhimu wa siku hii kwa jamii na taifa letu kwa ujumla, naomba tupate funzo kupitia historia yangu na jinsi nilivyoishi siku 470...
  10. Waliozaliwa na VVU na Vijana wanaojiuza kwa Watu Wazima watajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI

    Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa wamekuwa vijana au Watu wazima kujihusisha na Ngono bila kuchukua tahadhari. Dkt. Adeel Shah...
  11. ATM Maalum ya kutolea Huduma za Vipimo vya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU yazinduliwa Mbeya

    ATM maalum ya kutolea huduma za vipimo vya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU ijulikanayo kwa jina la “Jipime”, ( HIV Self Testing) imezinduliwa Jijini Mbeya kwa lengo la kuhamasisha wananchi kupima na kutambua afya zao ili kujilinda dhidi ya maambukizi mapya ya virusi hivyo. Huduma hiyo...
  12. Wanasayansi wafufua virusi hatari vya "ZOMBIE"

    Wanasayansi wamefanikiwa kufufua virusi vya 'Zombie' ambavyo vilikuwa vimelala kwa zaidi ya miaka 48,500 katika barafu. Kuyeyuka kwa theluji katika eneo la Siberia nchini Urusi, kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kunaweza kuwa tishio jipya kwa afya ya binadamu na wanyama, kulingana na...
  13. Ripoti Muhimbili: Wanaume 4 hadi 8 wanaishi na Maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini

    Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo wanaojidunga Dawa za, Kulevya Aidha kwa mujibu wa Takwimu za MNH, Saratani ya Ini ni ya pili kwa...
  14. Sheria inasemaje kuhusiana na watu wanoambukiza virusi wengine kwa makusudi?

    Kuna kijiji nilienda na nilikaa hapo kwa muda fulani , kipindi nikiwa hapo nilishuhudia baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wakiambukizana magonjwa kwa Makusudi kwa mfumo huu, unakuta mwanaume ana mchepuko nje ambae ni mke wa mtu anakuwa na mahusiano nae pamoja na mabinti zake. Kuna Mzee mmoja...
  15. L

    #COVID19 Wachina washikamana kukabiliana na virusi vya Corona

    Wiki mbili zilizopita, ghafla nilipata homa kali na maumivu makali mwili mzima. Mke wangu alikwenda katika maduka mbalimbali ya dawa karibu na nyumbani kwetu ili kutafuta dawa, lakini alirudi mikono mitupu. Siku mbili baadaye, mimi, mke wangu pamoja na mtoto wetu sote tulipatwa na virusi vya...
  16. Uganda: Virusi vya Ebola vyazidi kusambaa Kampala

    Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa ya kusambaa kwa Virusi vya #Ebola baada ya wanafunzi 6 kukutwa na maambukizi jijini hapo. Idadi hiyo inafanya jumla ya waliokutwa na maambukizi #Kampala kufika 15 kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Jane Ruth Aceng ikiwa ni siku chache tangu Serikali...
  17. KWELI Mashine za Kunyolea nywele zinaweza kusambaza VVU

    Kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya kutokuwa hai pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na dalili zote za viumbe hai mpaka pale watapoingia kwenye seli ya kiumbe. Inakuwaje sasa tunaambiwa HIV haambukizwi kwa mashine za kunyolea...
  18. Watafiti: Virusi vya Ebola nchini Uganda vimebadilika

    Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika. Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna ushahidi kwamba inaweza kuambukizwa zaidi ya aina ya awali. Walichambua sampuli kutoka kwa kisa cha...
  19. Uganda yathibitisha mlipuko mpya wa Virusi vya Ebola

    Mwanamume mwenye Umri wa Miaka 24 amefariki katika mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola uliothibitishwa na Maafisa wa Afya tangu Mwaka 2012, Uganda iliporekodi kisa cha mwisho Waziri wa Afya amesema Marehemu alikuwa ameonyesha dalili za ugonjwa huo na hadi sasa watu 8 wenye dalili zinazoshukiwa...
  20. Mtwara: Wazazi wanawaficha watoto wenye VVU

    Afisa Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Mangaka Wilaya ya Nanyumbu, Janeth Chikawe ameeleza kuwa Mkoa huo umekuwa na idadi kubwa ya wazazi ambao hawawapeleki watoto kupata dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa kuwafungia ndani. Amesema watoto wengi wanaokosa huduma hiyo ni wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…