Rejea mada tajwa
Uzi huu ni kwa ajili ya VISA/ MIKASA ya kushangasa na pengne mtu akaja na jawabu la mkasa wako unamaanisha nini au tafsiri ya mkasa ulionao.
Mimi nimehama mkoa wa ziwa na kuhamia nyanda za juu huku wafugaji hugunga ng'ombe kwenye nyasi sasa ni kawaida napopita ng'ombe anaanza...