Wakuu salaam,
Awali ya yote nawashukuru wana Jamii forums wote kwa michango yenu na mawazo yenu yakinifu yanayo toa elimu, ushauri na msaada mkubwa sana kwa jamii.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa Dar es salaam. Elimu yangu ni kidato cha sita (High school). Baada ya...