Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amegawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani wa sekta ya mifugo mkoani Morogoro.
Dkt. Kijaji amesema hatua hiyo itasaidia kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa na mkoani Morogoro kwa ujumla huku...
Wakuu,
Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!
Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!
ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
Inawezekana ni kweli wana nia ya dhati kuwawezesha walimu katika TEHAMA, lakini kwa ugawaji huu haitasababisha mgawanyiko au upendeleo?
Naona shule x leo wamegawiwa walimu watano na mkuu wa shule!
Je, ni sawa?
Walimu wanakimbizana na kupigana maofisini kwenye mgao wa vishikwambi vya sensa nakuanza kulialia kuwa wanaonewa. This is bullshit yani serikali hii inawaona walimu kama primitive generation ndio maana kwenye shughuli ndogondogo na vimgao vya hovyo wanapewa wao ila sio big agenda kama maposho...
WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR YAKABIDHIWA JUMLA YA VISHKWAMBI 6,600
Na Ipyana Mwaipaja,
WyEST, DSM
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishkwambi 6,600 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa ajili ya kugawa kwa walimu ili kuwapa motisha na...
Kati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya mikakati yake ilikuwa ni kuwa wezesha Maafisa Ugani na vitendea kazi kama Pikipiki, Vishkwambi na Vipima...
Moja kwa Moja kwenye mada.
Sipingi kutolewa Vishikwambi ila naona sio sawa kuweka sherehe jambo la kutoa maelekezo na maagizo tu.
Kila kitu viongozi wanataka kongamano hafla nk,vya nini hivyo?
Kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa ugawaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.