Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi.
Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni...
Naomba mniweke sawa juu ya hali nliyoona pale uhamiaji Kurasini.
Kila kibanda cha photocopy kuna maandishi huduma za kisheria na mhuri wa wakili zinapatikana hapa.
Inadhalilisha taaluma yetu kabisa na pia vishoka wanabakia humo kwa kutunzwa na hao mawakili wenye mihuri yao humo stationeries...
Ninaliandika hili kwa tahadhari kubwa sana, natamani hata niandike kwa wino mwekundu kisha niligongelee muhuri wa mahakama ili kutilia mkazo.
Nchi hii haina madaktari wala wanaojiita wataalamu wa afya. Hawapo kabisa, hakuna hata mmoja. Nitaeleza.
Mwaka 2020 kulizuka kitu kilichopewa jina la...
Kupatikana kwa haki Tanzania hususani central police DSM pale imekuwa ni changamoto hususani kesi za utapeli na uwizi, maaskari wamegeuka vishoka wa kuwatorosha watuhumiwa wa utapeli.
Mtu anaetapeli amejiwekea immunity kituo kikubwa kama central ili tu wadai wakifika central kufuatia madai yao...
Saa 6:15 asubuhi naingia ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuomba leseni ya udereva.
Lengo la safari yangu si tu kufika TRA, bali pia ofisi za Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi pamoja na Uhamiaji kufuatilia taarifa za uwepo wa vishoka ambao wapo kwa kivuli cha kutoa msaada kwa...
Zamani ilikuwa ukifika ofisi za TRA au TANESCO basi ni lazima ukutanane na watu wanaoitwa vishoka, nina uhakika kwa sasa watu hao wamesambaa kwenye ofisi nyingi tu.
Binafsi sijawahi kufanya kazi na hao watu kwa kuwa naelewa wapo nje ya mfumo wa ofisi husika, lakini nimeshashuhudia mara kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.