vishoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  2. Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Vishoka Wanaoshikilia Maeneo Yenye Malighafi za Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni...
  3. Wingi wa matangazo ya kugonga mihuri ya Mawakili Ofisi ya Uhamiaji Kurasini

    Naomba mniweke sawa juu ya hali nliyoona pale uhamiaji Kurasini. Kila kibanda cha photocopy kuna maandishi huduma za kisheria na mhuri wa wakili zinapatikana hapa. Inadhalilisha taaluma yetu kabisa na pia vishoka wanabakia humo kwa kutunzwa na hao mawakili wenye mihuri yao humo stationeries...
  4. Tanzania hatuna Madaktari, tuna vishoka na makasuku

    Ninaliandika hili kwa tahadhari kubwa sana, natamani hata niandike kwa wino mwekundu kisha niligongelee muhuri wa mahakama ili kutilia mkazo. Nchi hii haina madaktari wala wanaojiita wataalamu wa afya. Hawapo kabisa, hakuna hata mmoja. Nitaeleza. Mwaka 2020 kulizuka kitu kilichopewa jina la...
  5. Central Police Dar es Salaam kuna maaskari vishoka

    Kupatikana kwa haki Tanzania hususani central police DSM pale imekuwa ni changamoto hususani kesi za utapeli na uwizi, maaskari wamegeuka vishoka wa kuwatorosha watuhumiwa wa utapeli. Mtu anaetapeli amejiwekea immunity kituo kikubwa kama central ili tu wadai wakifika central kufuatia madai yao...
  6. Vishoka wakithiri ofisi za umma

    Saa 6:15 asubuhi naingia ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuomba leseni ya udereva. Lengo la safari yangu si tu kufika TRA, bali pia ofisi za Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi pamoja na Uhamiaji kufuatilia taarifa za uwepo wa vishoka ambao wapo kwa kivuli cha kutoa msaada kwa...
  7. Serikali imeshindwa kuondoa vishoka katika ofisi zao au imeamua uwe mradi kamili wa wafanyakazi?

    Zamani ilikuwa ukifika ofisi za TRA au TANESCO basi ni lazima ukutanane na watu wanaoitwa vishoka, nina uhakika kwa sasa watu hao wamesambaa kwenye ofisi nyingi tu. Binafsi sijawahi kufanya kazi na hao watu kwa kuwa naelewa wapo nje ya mfumo wa ofisi husika, lakini nimeshashuhudia mara kadhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…