Tupo tunasafiri, kuna mdada mmoja mzuri, body si haba na kavaa smart kabisaaa, Wakati yupo chini konda akamuomba jina ili amuandikie tiketi.
Ninukuu baadhi ya majibizano, sio yote kisa ni kirefuu.
Akajibu "Niache nitulie andika hao wengine"
Akaachwa, tupo ndani konda akamfuata akamuambia...