Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini...
Dar es Salaam.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia.
Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa na kukutwa na kemikali hatarishi aina ya ‘ethanol’ isivyo halali...
Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.
Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga...
Kheri ya mwaka mpya wakuu?
Mimi binafsi mtaani nilipopanga na ninapoishi naitwaga mshamba na washkaji sababu nikitoka asubuhi kwenye mishe zangu kariakoo kurudi saa3 usiku au saa2 nikiwahi.
siku ya mwaka mpya hapa mtaani kuna vijana wengi walioshindwa kusoma, wasio na kujua nini wanataka...
Idadi ya wanaugua Magonjwa hatari yasiyoambukiza ikiwemo Kiharusi, Shinikizo la Juu la Damu, Maradhi ya Moyo imetajwa kuongezeka kwa kasi nchini ambapo wengi wao ni wenye miaka kati ya 20 hadi 40,
Madaktari Bingwa watoa onyo Serikali ichukue hatua za haraka kudhibiti biashara ya Pombe Kali za...
Ni viroba katika chupa za plastiki zenye kilevi cha 40 kikiwa kidogo unaweka hadi mfukoni hata mtoto anaweka, wanasema havina harufu kali so unaweza ukawa na mtu karibu anaongea upuuzi usijue kama kalewa.
Boda boda, machinga, wapiga debe na walevi wa kiwango cha umaskini ndio chao kwa bei ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.