Kiongozi mkuu wa makundi ya waasi mashariki mwa Kongo Corneille Nangaa, Nangaa ni mfano wa viongozi wengi wa dunia ya tatu.
Nangaa sababu ya yeye kuingia kwenye uasi anasema ni kwamba alipokuwa mkuu wa tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo maarufu kama CENI alishirikiana na mteule wake Rais Joseph...