Mamlaka ya kudhibiti na kupambana Dawa za kulevya nchini, imefanikiwa kukamata Dawa za kulevya zenye uzito wa kilogramu milioni 2 katika kipindi cha Januari hadi Disemba 2024.
“Hiki ni kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya kuwahi kukamatwa tangu mamlaka hii kuanzishwa, katika dawa zilizokamatwa...