Kisiwa cha Idjwi nchini Kongo ni eneo lililosahaulika ambalo limeishi kwa miongo kadhaa ya vita bila kuathirika.
Kisiwa cha pili kwa ukubwa kilichoko ziwani barani Afrika, Idjwi, kipo katika sehemu ya kusini ya Ziwa Kivu, kikizungukwa na nchi mbili ambazo zimekuwa katika vita kwa karibu miongo...
Muungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza usitishaji mapigano wa kibinadamu kuanzia Jumanne.
Katika taarifa, kundi hilo - linalojumuisha waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda - lilitaja "sababu za kibinadamu" za kusitisha mapigano, baada ya kuteka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.