Picha za wapiganaji wa Hamas wakati wa makabidhiano ya mateka zimetajwa kuwa ni ushahidi kuwa vita vya zaidi ya mwaka mmoja havikuwamaliza wapiganaji hao.
Wakati huo huo video hizo zimewaudhi mno wahafidhina wa kiisrael akiwemo Ben Giver aliyewahi kupendekeza kutumika bomu la nyuklia kupambana...
Wadau hamjamboni nyote?
Baraza la mawaziri la Israel hakuna kuidhinisha makubaliono kusitisha vita hadi Hamas wakubaliane na kutimiza vipengele vyote vya mkataba husika
Suala la kuachiwa wafungwa na aina ya wafungwa watakaoachiwa huo ni uamuzi wa Israel na siyo Hamas
==================
Israel...
Hiyo hapo juu ni orodha na picha ya Magaidi 19 ya Hamas na Islamic Jihad yaliouwawa na Airstrike ya Jeshi teule tukufu la IDF yakiwa yamejificha shuleni wakidhani yatakuwa salama.
Pia soma: LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
Inasemekana maisha ya kujificha kwenye...
Wanaukumbi.
Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel.
Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo utakamatwa.
Sheria ya "antisemitism" ambayo imepitishwa hivi punde katika Bunge HAIFAI tu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.