Wasalaam.
Nimekaa chini na kutafakari ili kujua upi ni mchezo sahihi kwa wanaume wa kweli kati ya michezo yote iliyopatwa kubuniwa, wanaume wa kweli nikimaanisha wale marijali, wale wenye roho ngumu wasiojali majelele ya walimwengu bali maamuzi yao. Hakika vita a.k.a kuuana ndio mchezo wa...
Ona Watoto wanavyohuawa huko Gaza na Jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas.
Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amewekewa vikwazo chungu nzima kutoka kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo...
Wadau hamjamboni nyote?
Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi
Mungu ibariki Israel
Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother...
Miezi mitatu mbele tangu shambuliao la kihistoria la Hamas hapo oktoba 7 mwaka 2023, kwa mara ya mwanzo Israel imekiri kwamba vita vimebadilika.
Msemaji wa jeshi la Israel katika mhojiaano na gazeti la New York times amedhihirisha hali hiyo ya mshangao.
Msemaji wa Jeshi la Israel, Daniel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.