Wasalaam.
Nimekaa chini na kutafakari ili kujua upi ni mchezo sahihi kwa wanaume wa kweli kati ya michezo yote iliyopatwa kubuniwa, wanaume wa kweli nikimaanisha wale marijali, wale wenye roho ngumu wasiojali majelele ya walimwengu bali maamuzi yao. Hakika vita a.k.a kuuana ndio mchezo wa...