Salaam, Shalom!!
Mikwara ni mingi duniani Kwa sasa, mashariki, magharibi, kaskazini na kusini.
Silaha nzito za maangamizi Kila Taifa kubwa linazo, ni kutishana tu, haitakuwepo vita kuu ya tatu ya Dunia Kwa mfumo huu kama wengi wanavyodhani.
Kinac.hoendelea hivi sasa ni tetesi tu za vita sawa...