Hezbollah imesema mmoja wa makamanda wake wakuu aliuawa katika shambulio la anga la Israel kusini mwa Lebanon, huku kundi hilo la waasi linaloungwa mkono na Iran likilipiza kisasi kwa msururu wa makombora dhidi ya Israel.
Mohammed Nimah Nasser ndiye mjumbe mkuu wa hivi punde zaidi wa Hezbollah...