Waziri mkuu starmer ameitaka Israel kusitisha Vita,kuruhusu misaada zaidi na kwamba Palestine Ina haki isiyopingika ya kitambulika Kama taifa,kwamba uingereza inaunga mkono mkondo wa mataifa mawili jirani ya Israel na Palestine
"Keir Starmer tells Benjamin Netanyahu of ‘clear and urgent’ need...