vita ukraine na urusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Askari wa Ukraine wakirudishwa maiti kwenye sandarusi.

    Urusi imekabidhi miili ya wanajeshi 252 wa Ukraine waliouawa katika vita vinavyoendelea kati ya nchi hizo, huku ikipokea miili ya wanajeshi 25 wa Urusi kwa makubaliano ya kubadilishana miili, kwa mujibu wa taarifa mbalimbali za vyombo vya habari. Makabidhiano hayo yanadaiwa kufanyika siku ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ukraine yapokea miili ya wanajeshi wake waliouawa Urusi

    Ukraine imepokea miili 1,212 kutoka Urusi ya wanajeshi wake waliouwawa wakati wa vita vilivyodumu miaka mitatu kati ya majirani hao wawili. Wanajeshi hao wanadaiwa kuuwawa katika mapigano kwenye jimbo la Kursk pamoja na maeneo mengine ya Ukraine ya Kharkiv, Luhansk, Donetsk, Zaporizhzhya na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…