Marekani, Ufaransa na Ujerumani ziliamua kutuma kifurushi kingine cha silaha nchini Ukraine.
Tusichukulie sentensi hili kirahisi maana wakati huu tunaweza kuzungumzia kuanzishwa kwa mifumo ya kubadilisha mchezo(game-changing systems).
magari 50 ya mapigano ya Bradley yaliyotengenezwa...
Jibu Fupi:
Ukraine ilionyesha Urusi jinsi upotoshaji kwenye vita unavyofanya kazi licha ya kuwa urusi ni kinara wa upotoshaji.
Jibu refu zaidi:
Baada ya urusi kushindwa kuuteka mji mkuu wa ukraine na kurudi nyuma kufocus na eneo la Kaskazini, Miezi kadhaa iliyopita tuliskia ukraine kakomboa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.