Meli moja iitwayo Sounion iko mbioni kuzama baada ya wanamgambo wa Houth kuishambulia kwa makombora mfululizo wakiwa kwenye boti ndogo ndogo huko bahari nyekundu karibu na Yemen.
Meli hiyo iliyokuwa ikitokea Iraq kuelekea Ugiriki ilikuwa ina mabaharia 25 ambao tayari wameshaokolewa wakati meli...