Wanaukumbi,
Mwanamke mmoja ameuawa na watu wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulizi ya roketi yaliyofanywa na Hezbollah Jumatatu, baada ya kundi hilo la kigaidi kurusha zaidi ya roketi 100 kaskazini mwa Israeli
Mwanamke aliyeuawa ametambuliwa kuwa Safaa Awad, mwenye umri wa miaka 41...
Chonde chonde Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali
Ni Wazi Israel haitarudi nyuma hivyo twawasihi Wakati mataifa makubwa duniani yanaondoa Watu wao nanyi rudini nyumbani
Ahsanteni sana.
Soma Pia: Wimbi la pili la milipuko ya vifaa vya mawasiliano Lebanon laua 20 na kujeruhi 450
Watu zaidi ya laki moja waliohamishwa kaskazini ya Israel kwa hofu ya Hizbullah sasa wamekuwa ni ajenda kubwa inayojadiliwa na viongozi wa nchi hiyo.
Kwanza watu hao wamekuwa mzigo kwa uchumi kwani wamewekwa kwenye maeneo kama hoteli kwa malipo ya serikali.Vile vile maeneo yaliyohamwa ni...
Vita vya Israeli vimekuwa sehemu ya historia ya eneo la Mashariki ya Kati tangu kuanzishwa kwa taifa la Israeli mnamo mwaka 1948. Hapa chini ni muhtasari wa baadhi ya vita muhimu vilivyohusisha Israeli:
1. Vita vya Kwanza vya Kiarabu na Israeli (1948-1949)
- Mwaka: 1948-1949
- Sababu...
Wanaukumbi.
NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."
"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda...
Wanakumbi.
YERUSALEMU
Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili.
Gazeti la Yedioth Ahronoth lilisema wanajeshi 1,000 wanahamishwa kila mwezi hadi idara ya ukarabati...
Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo.
Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.