Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike
Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi...
Kati wa watu wanaothamini sana uhai wa watu wao hapa duniani ni Israel. Ikitokea raia wa Israel au Mwanajeshi wa Israel amefariki kwenye mapigano au tukio lolote lile la Kigaidi haijalishi inapita muda gani, Israel ni lazima walipize kuuliwa kwa mtu wao.
Tabia hii ya Israel inapekea sio tu...
Najua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ!
Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis Mwamunyange. Najua habari hii haijamlaza vizuri mwamba Luteni General Abdulrhman Shimbo.
What we...
The New York Times imeripoti kuwa Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 ametoa pendekezo la kuipa Marekani udhibiti wa madini ya nchi hiyo ili kumshawishi Rais Trump kutuma wanajeshi kupambana na waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda.
DR Congo 🇨🇩 ni nchi yenye...
Umewhi kujiuliza kwenye hio vita ya congo ingekua ni jamii mbili tofauti ndo zinazopiganna yani mfano jamii moja iwe mtu mweus nyingine iwe mzungu au mwarabu mu asia n.k
Si kwa chuki, si kwa uchochezi, bali kwa kusema ukweli! unawezaje kumbagua mwafrika mwenzako mweusi mwenzako kisa kabila...
Uingereza siku ya Jumanne ilitangaza kwamba imemuita Balozi wa Rwanda nchini Uingereza baada majeshi ya Ulinzi ya Rwanda na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kusonga mbele katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
"Hatua hizi ni ukiukaji usiokubalika wa uhuru na uadilifu wa...
Tulishasema humu mara kadhaa kwamba Viongozi wa Nchi hizo hawana uwezo wa kutatua chochote zaidi ya kuiba kura na kusimamia mauaji ya wanasiasa wa upinzani.
Hebu angalia kilichofanyika Kwenye kikao chao cha DSM, haieleweki hata walichokifanya, Najuta kwa mkutano huu kutusababishia foleni bila...
Baadhi ya wanawake ambao waume zao walikuwa wanajeshi wa FRDC(jeshi la DRC), wanahangaika sana baada ya waume zao kufia vitani, wengine wapo kambini ilipo MONUSCO, wengine wamekimbilia nchi jirani ya Rwanda.
Wanawake hao walibaki na watoto. Wanachokiongelea ni kwamba wamefukuzwa kambini...
Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.
Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata...
Huko kote kuanzia Uganda, Rwanda, Congo, Rhodesia hadi South Africa sisi Tanzania ndio baba lao
Kagame na Museven wanaelewa vizuri Sana hivyo ni vema waachane na mambo ya M23
Jumapili Njema
Jenerali Mubarakh Muganga, Mkuu wa Majeshi wa Rwanda Defence Force (RDF), aliamriwa na Paul Kagame kuongoza operesheni ya kuteka Jiji la Goma.
Mnamo tarehe 6 Januari 2025, alihamia Rubavu, mji wa Rwanda unaopakana na Goma, ambapo alichukua nafasi ya Kamanda Mkuu wa Operesheni ya kuivamia na...
Kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka huu 2025, waasi wa kitusi wa Burundi likiwemo kundi la Red Tabara wamekuwa wakifadhiliwa na kupewa mafunzo na Rwanda kwa lengo la kufanya mapinduzi nchini Burundi.
Mara nane zote wamejaribu kupindua serikali ya Burundi kwa nyakati tofauti ila wamekuwa wakishindwa...
Kwa namna yeyote ile ni lazima Tanzania ihakikishe amani inapatikana congo na Rwanda. Nchi zote mbili hizi Zina mchango mkubwa katika Uchumi na biashara katika nchi yetu.
Tanzania kwa sasa tupo katika mtego ambao ni lazima tuutegue katika njia ya amani kwa ustawi wa taifa letu. Kila la heri...
Mengi bado yasemwa kuhusu mgogoro unoendelea huko Congo DRC na kwamba hawa wapiganaji wa M23 wafyekwe au wapotezwe mazima jambo ambao si rahisi kama wengi wanavyodhani.
Serikali za Afrika hususan eneo la maziwa makuu zimefikia uamuzi wa kutuma majeshi yao Tanzania ikiwemo pamoja na Afrika...
Ni upuuzi Kwa DRC Congo kubagua section ya Raia wake eti Kwa madai kwamba wanazungumza Kinyarwanda hivyo sio Wakongomani wanatakiwa kuwa kicked out au kuuwawa.
Huu ni upuuzi wa Hali ya Juu kiasi kwamba Nchi jirani zikatae kuwasaidia unless kama kusaidia kwenyewe ni kulinda raia na kuiba Mali ya...
Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC
———
At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzania's President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the...
Kutokana na kuongezeka kwa vurugu katika jiji la Kinshasa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ubalozi wa Marekani huko Kinshasa umewashauri raia wake kujificha na kisha kuondoka kwa usalama wakati patakapokuwa na njia za kibiashara.
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi huoJanuari 28, 2025...
Ndugu zangu...
Tumekua tukishuhudia, kuona na kusikia huko Congo DRC kukiwa na vita kali kati ya M23 na majeshi matiifu ya serikali, halikadhalika M23 wakinukuliwa kuwa na silaha nzito kuliko majeshi ya serikali , kuwashinda nguvu na kuwafurusha vikali pamoja na kuua wanajeshi wa Congo , pia...
Inaripotiwa kuwa, mpaka majira ya saa 5 usiku, waasi wa M23 wameshindwa kuushika mji wa Goma na wameanza kuzidiwa.
Hii ni baada ya askari wa ranks za captain na Lieutenants kuoongoza vikosi vya jeshi la Kongo baada ya majenerali na wengine wa vyeo vya juu kukimbia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.