vita ya congo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Wakati wowote Marekani watamwambia Kagame aondoke madarakani kwa hiari au nguvu itumike

    Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi...
  2. Kuuawa kwa Wanajeshi wetu wawili Congo. Je, kuna haja ya TISS na JWTZ kuiga utendaji wa MOSSAD na Jeshi la Israel?

    Kati wa watu wanaothamini sana uhai wa watu wao hapa duniani ni Israel. Ikitokea raia wa Israel au Mwanajeshi wa Israel amefariki kwenye mapigano au tukio lolote lile la Kigaidi haijalishi inapita muda gani, Israel ni lazima walipize kuuliwa kwa mtu wao. Tabia hii ya Israel inapekea sio tu...
  3. Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Najua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ! Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis Mwamunyange. Najua habari hii haijamlaza vizuri mwamba Luteni General Abdulrhman Shimbo. What we...
  4. Felix Tchisekedi Amshawishi Trump Atume Majeshi Kukabiliana na M23 Kwa malipo ya Kumpa Migodi.

    The New York Times imeripoti kuwa Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 ametoa pendekezo la kuipa Marekani udhibiti wa madini ya nchi hiyo ili kumshawishi Rais Trump kutuma wanajeshi kupambana na waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda. DR Congo 🇨🇩 ni nchi yenye...
  5. S

    Vita ya DR Congo na M23 ni tafsiri ya namna watu weusi ni wabaguzi wao kwa wao, wakabila, wabinafsi n. k

    Umewhi kujiuliza kwenye hio vita ya congo ingekua ni jamii mbili tofauti ndo zinazopiganna yani mfano jamii moja iwe mtu mweus nyingine iwe mzungu au mwarabu mu asia n.k Si kwa chuki, si kwa uchochezi, bali kwa kusema ukweli! unawezaje kumbagua mwafrika mwenzako mweusi mwenzako kisa kabila...
  6. Serikali ya Uingereza yamuita Balozi wa Rwanda nchini Uingereza kufuatia M23 kuzidi kusogea Congo

    Uingereza siku ya Jumanne ilitangaza kwamba imemuita Balozi wa Rwanda nchini Uingereza baada majeshi ya Ulinzi ya Rwanda na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kusonga mbele katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. "Hatua hizi ni ukiukaji usiokubalika wa uhuru na uadilifu wa...
  7. Baada ya Viongozi wa EAC na SADC kushindwa kutatua Mgogoro wa DRC, Viongozi wa dini Waingilia kati

    Tulishasema humu mara kadhaa kwamba Viongozi wa Nchi hizo hawana uwezo wa kutatua chochote zaidi ya kuiba kura na kusimamia mauaji ya wanasiasa wa upinzani. Hebu angalia kilichofanyika Kwenye kikao chao cha DSM, haieleweki hata walichokifanya, Najuta kwa mkutano huu kutusababishia foleni bila...
  8. Wake wa wanajeshi wa FARDC huko Goma walilia maisha magumu

    Baadhi ya wanawake ambao waume zao walikuwa wanajeshi wa FRDC(jeshi la DRC), wanahangaika sana baada ya waume zao kufia vitani, wengine wapo kambini ilipo MONUSCO, wengine wamekimbilia nchi jirani ya Rwanda. Wanawake hao walibaki na watoto. Wanachokiongelea ni kwamba wamefukuzwa kambini...
  9. Kwa yanayotokea Goma, ni dhahiri vyombo vya dola vinatakiwa kuwa makini zaidi kudhibiti wahamiaji haramu mipakani

    Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani. Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata...
  10. J

    Museveni, Kagame na hayati Kabila walikuwa n vijana wa Mwalimu Nyerere hivyo Tanzania tuna maslahi mapana na mgogoro wa Congo

    Huko kote kuanzia Uganda, Rwanda, Congo, Rhodesia hadi South Africa sisi Tanzania ndio baba lao Kagame na Museven wanaelewa vizuri Sana hivyo ni vema waachane na mambo ya M23 Jumapili Njema
  11. U

    Mfahamu Jenerali Mubarakh Muganga Mkuu wa majeshi RDF Rwanda ambaye aliongoza uvamizi wa jiji la Goma

    Jenerali Mubarakh Muganga, Mkuu wa Majeshi wa Rwanda Defence Force (RDF), aliamriwa na Paul Kagame kuongoza operesheni ya kuteka Jiji la Goma. Mnamo tarehe 6 Januari 2025, alihamia Rubavu, mji wa Rwanda unaopakana na Goma, ambapo alichukua nafasi ya Kamanda Mkuu wa Operesheni ya kuivamia na...
  12. A

    2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

    Kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka huu 2025, waasi wa kitusi wa Burundi likiwemo kundi la Red Tabara wamekuwa wakifadhiliwa na kupewa mafunzo na Rwanda kwa lengo la kufanya mapinduzi nchini Burundi. Mara nane zote wamejaribu kupindua serikali ya Burundi kwa nyakati tofauti ila wamekuwa wakishindwa...
  13. Tanzania tupo kwenye Mtego. Ni Lazima tuhakikishe amani inapatikana kati ya Congo na Rwanda kwa ustawi wa uchumi wetu

    Kwa namna yeyote ile ni lazima Tanzania ihakikishe amani inapatikana congo na Rwanda. Nchi zote mbili hizi Zina mchango mkubwa katika Uchumi na biashara katika nchi yetu. Tanzania kwa sasa tupo katika mtego ambao ni lazima tuutegue katika njia ya amani kwa ustawi wa taifa letu. Kila la heri...
  14. Uchambuzi: Mambo ya msingi kabisa ya kuyatambua kuhusu mgogoro wa wapiganaji wa M23 na Congo DRC na mapendekezo ya nini kifanyike

    Mengi bado yasemwa kuhusu mgogoro unoendelea huko Congo DRC na kwamba hawa wapiganaji wa M23 wafyekwe au wapotezwe mazima jambo ambao si rahisi kama wengi wanavyodhani. Serikali za Afrika hususan eneo la maziwa makuu zimefikia uamuzi wa kutuma majeshi yao Tanzania ikiwemo pamoja na Afrika...
  15. Thabo Mbeki atoa mawazo yake kuhusu mgogoro unaoendelea sasa katika DRC na vikosi vya M23

    Ni upuuzi Kwa DRC Congo kubagua section ya Raia wake eti Kwa madai kwamba wanazungumza Kinyarwanda hivyo sio Wakongomani wanatakiwa kuwa kicked out au kuuwawa. Huu ni upuuzi wa Hali ya Juu kiasi kwamba Nchi jirani zikatae kuwasaidia unless kama kusaidia kwenyewe ni kulinda raia na kuiba Mali ya...
  16. A

    Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

    Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC ——— At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzania's President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the...
  17. Marekani yafunga Ubalozi nchini DRC

    Kutokana na kuongezeka kwa vurugu katika jiji la Kinshasa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ubalozi wa Marekani huko Kinshasa umewashauri raia wake kujificha na kisha kuondoka kwa usalama wakati patakapokuwa na njia za kibiashara. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi huoJanuari 28, 2025...
  18. Vita ya Congo DRC na M23 nini kifanyike haraka kuokoa maisha ya watu wasio na hatia na kuiweka Congo salama maisha yake yote

    Ndugu zangu... Tumekua tukishuhudia, kuona na kusikia huko Congo DRC kukiwa na vita kali kati ya M23 na majeshi matiifu ya serikali, halikadhalika M23 wakinukuliwa kuwa na silaha nzito kuliko majeshi ya serikali , kuwashinda nguvu na kuwafurusha vikali pamoja na kuua wanajeshi wa Congo , pia...
  19. Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

    Inaripotiwa kuwa, mpaka majira ya saa 5 usiku, waasi wa M23 wameshindwa kuushika mji wa Goma na wameanza kuzidiwa. Hii ni baada ya askari wa ranks za captain na Lieutenants kuoongoza vikosi vya jeshi la Kongo baada ya majenerali na wengine wa vyeo vya juu kukimbia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…