Huyu hastahili kupuuzwa, hiki anachofanya ni kueneza itikadi chafu zinazochochea chuki ya kidini.
Anaponyamaziwa kana kwamba hana madhara, anapata nafasi ya kujenga mtandao wa wafuasi, hasa vijana wasiokuwa na mwelekeo, ambao hushawishika kirahisi kuamini anachosema ni sahihi. Wanaanza...