vita ya gaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo. Hii inakuja muda mfupi baada ya Ikulu ya Marekani kuthibitisha kuwa inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, kinyume na sera...
  2. Ritz

    Video; Maandamano Tel Aviv kumpinga Netanyahu

    Wanaukumbi Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe. Kadiri hatua ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano ilivyomalizika Jumamosi, watu walikusanyika Tel Aviv, Haifa na kwingineko...
  3. Echolima1

    Je, alichokifanya Ismail Hanniyeh kufurahia mauaji ya oct 07,2023 ni halali kwa mjibu wa uislamu?

    Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa...
  4. Yoda

    Trump aweka video ya maono yake ya jinsi ataibadili Gaza kuwa sehemu ya kula bata.

    Ameposti video kwenye mtandao wake wa Truth Social jinsi anavyoina Gaza ya siku za mbeleni kupitia mpango wake wa Gaza riviera.
  5. R

    Marubani wa kike walifanya shambulio la aibu na uharibifu mkubwa kwenye jamhuri ya kiislam ya Iran, kwanini Iran inasita kulipa kisasi?

    Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina. Israel ikajibu October 26, hawakurusha...
  6. J

    Hamas yakubaliana na agizo la Trump. Yatangaza kuachilia mateka wengine 3 siku ya Jumamosi

    Hamas imetangaza Alhamisi kuwa itawaachilia huru mateka watatu wa kutoka Israel kama ilivyopangwa. Awali, Hamas ilikuwa imetishia kuchelewesha kuachiliwa kwa mateka, ikidai Israel haijatimiza makubaliano ya kupeleka mahema, hifadhi, na misaada mingine. Israel, ikisaidiwa na Rais wa Marekani...
  7. Ritz

    Afisa wa Saudia amtolea uvivu Trump. Asema kama anataka amani basi awapeleke wananchi wa Israel Alaska au Greenland

    Wanaukumbi. Saudi official Al-Saadoun says if Trump wants to be a 'hero of peace', he must move his Israeli loved ones to Alaska and then to Greenland after annexing it. ===================== Afisa wa Saudi Al-Saadoun anasema ikiwa Trump anataka kuwa 'shujaa wa amani', ni lazima awahamishe...
  8. U

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahau amteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa Mkuu mpya wa Majeshi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka madarakani Machi 6. Uteuzi wa Zamir unakuja wakati Israel inakabiliwa na changamoto kubwa za kiusalama...
  9. Jackal

    Rais Trump asitisha visa za wanafunzi wa kigeni walioandamana kuipinga Israeli baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Oktoba 7,2022

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alisaini agizo la kupambana na chuki dhidi ya Wayahudi na kuahidi kuwafukuza wanafunzi wa vyuo vikuu wasio raia pamoja na wengine waliokuwa sehemu ya maandamano ya kuunga mkono Palestina dhidi ya Israel. Agizo hilo kutoka kwa Trump lilisema kuwa Wizara ya Sheria...
  10. Mindyou

    Donald Trump amualika Benjamin Netanyahau Ikulu ya White House. Vita ya Gaza inaelekea kuishia?

    Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili. Ziara hii inakuja wakati Marekani inashinikiza Israel na Hamas kuendeleza usitishaji mapigano...
  11. W

    Uhamisho wa wakazi wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda wapendekezwa na timu ya maridhiano ya kusitisha vita ili kuikarabati Gaza

    Timu ya maridhiano ya usitishaji wa vita imeshauri kuhamisha Wapalestina wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda hadi Gaza itakapojengwa upya. Wazo hilo limewekwa wazi na Steve Witkoff ni mshauri wa masuala ya kimkakati katika timu ya Trump anaeshiriki katika juhudi za kutafuta suluhu la amani...
Back
Top Bottom