Wadau hamjamboni nyote?
Mabasi matatu yalilipuka katika mji wa Bat Yam, kusini mwa Tel Aviv, katika tukio linaloshukiwa kuwa la kigaidi.
Polisi wa Israeli waliofika katika tukio hilo wameeleza kuwa kuna vifaa vilivyokuwa kwenye mabasi mawili havikulipuka.
Waziri wa Usafiri, Miri Regev...