The Tanzanian Honours System consists of orders and medals awarded for exemplary service to the nation. It is presented by the President of Tanzania on national holidays.
Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC
———
At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzania's President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the...
Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa.
CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
Prof Kabudi pamoja na Harrison Mwakyembe waliwahi kuwa waandishi wa habari wa magazeti ya uhuru na mzalendo(if I am not mistaken). Hii ilikuwa kabla, wakati na baada ya vita vya kagera.
Kwa maneno mengine, walikuwa wanajeshi walioongoza mapambano dhidi ya nduli Idd Amin kwa silaha ya kalamu...
Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?"
Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
Binafsi, nimekuwa nikijiuliza, Mfano uvamizi ule wa Idd Amin Tanzania ungeisha kwa Idd Amin kuvishinda vikosi vya Tanzania, hali ingekuwaje? Leo 2024, tungekuwa na nchi ya Namna gani kisiasa, kijamii na kiuchumi? Tungekuwa na kanda ya ziwa sehemu ya Uganda?
Au Tanzania yote ingekuwa ni sehemu...
Akizungumza Bungeni, leo Juni 13, 2024, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wanajeshi wastaafu walioshiriki katika Vita ya Kagera wote wameshalipwa na hakuna anayedai.
Pia Soma:
~ Miaka 45 tangu Majeshi ya Tanzania yashinde vita Uganda dhidi ya...
Juni 9, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na Dunia kuwa ngome ya mwisho ya adui imeanguka.
Ikiwa ni miaka 45 sasa tangu ushindi wa Vita hii...
Uganda tayari ilikuwa fractured kuanzia serikalini hadi kwenye jamii. Watu wa Uganda waliishi kwa kumuogopa dadaa ila hawaku muheshimu.
So vita kutoka Tz ilikuwa ni fursa kwao kwa maana wanajeshi wa Tz walikuwa wanapata support kwa kila kituo walichokuwa wanafikia na naamini jeshi letu...
Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake.
Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo.
Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ.
Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia...
Wale wahenga mnakumbuka tulizishuhudia zile silaha pale uwanja wa Uhuru baada ya wapiganaji wetu mashujaa kurejea kutoka vitani huko Mutukula.
Vita ni uimara na ujasiri wa mioyo na akili za wanajeshi na siyo wingi wa zana za kivita japokuwa nazo ni muhimu.
Mungu wa mbinguni ibariki Ukraine...
Jenerali mstaafu David Bugozi Waryoba Musuguri alizaliwa Januari 4, 1920 katika Kijiji cha Kumuruti, Masabha. Sasa sehemu hiyo inajulikana kama Nyasirori, akiwa mtoto wa tatu katika familia ya mzee Musuguri wa Nzangho.
Alipozaliwa aliitwa jina la Waryoba, ikiwa ni ishara kwamba alizaliwa...
Majeshi ya Libya yaelemewa na JWTZ nchini Uganda.
#Sehemu #ya - 20.
Toleo lililopita tuliona jinsi askari wa Libya walivyo elemewa nchini Uganda na namna wengine walivyouawa na wengine kuchukuliwa mateka.
Hatimaye Iddi Amin alipoona kuwa Libya haiwezi kumuokoa katika kuzama kwake,alizigeukia...
Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda.
#Sehemu #ya - 1
Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda iliyodumu kwa miezi sita kati ya mwaka 1978 hadi 1979.
Vita hiyo ilianzia mkoa wa Kagera unaopatikana...
Jana wakati naangalia TBC Kwenye sherehe za Mashujaa zilizoongozwa na Rais nilipatwa na masikitiko makubwa sana hasa nilipouona ule Mnara wa MASHUJAA wa vita vya Kagera niliwakumbuka sana wapiganaji wenzangu waliopoteza maisha yao wakiwa mstari wa mbele wa mapambano ya kuuondoa Utawala wa Nduli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.