Bado ni mapema sana kwa pande zote mbili kufanya maamuzi. Timu zote mbili za Simba na Yanga zimefanya usajili mzuri na zina vikosi vya kiushindani kwa mashindano ya ndani na nje.
Tuna nafasi ya kuwa na msimu mmoja mzuri sana wenye ushindani wa kweli ila hilo litatokea kama tutaweka silaha zote...