VITA BADO INAENDELEA
SEHEMU I/♾
Bado zinachapwa huko sudani
CHANZO CHA MGOGORO
Mgogoro huu unaanzia mbali kabisa wakati wa Rais wa zamani wa Sudan Omary Bashiri.
Omary bashir aliingia madarakani baada ya kumpindua rais wa nchi hiyo Ahmed al-Mirghani. Na akaongoza nchi hiyo tangu 1989-2019...