Linaweza kuonekana kama wazo mfu lakini huo ndiyo ukweli. Tangu zamani vita ndiyo njia ya kurekebisha mambo na kubalance power.
Ukiangalia kwa undani matatizo yanayowakabiri vijana ni karibu sawa ulimwenguni kote, ajira hakuna, kupuuzwa na watawala pamoja na mauaji ya hovyo yanayofanywa na...