vita ya ukraine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Baada ya Marekani kusitisha misaada, Urusi yafyatua Kombora nchini Ukraine katika harakati za kuichukua Kursk

    Hali inazidi kuwa ngumu kwa Ukraine baada ya majeshi ya Urusi kuanza kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyo Kursk ambayo yalikuwa yanadhibitiwa na Ukraine tangu Agosti 2024. Russia ilifyatua makombora aina ya cruise na makombora ya balistiki kuelekea Ukraine katika shambulio kubwa usiku kucha...
  2. Mindyou

    Rais wa Ukraine Zelensky atangaza kikao kingine na Marekani kitakachofanyika nchini Saudi Arabia

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa mazungumzo kati ya Ukraine na Marekani yatafanyika Saudi Arabia wiki ijayo, akielezea matumaini kuwa mkutano huo utakuwa na maana katika juhudi za kusaka amani ya kudumu. Zelensky hatahudhuria mazungumzo hayo lakini amesisitiza kuwa Kyiv...
  3. Mindyou

    Kiongozi wa CIA atangaza Marekani kusitisha kuipa Ukraine taarifa zozote za kijasusi na za kiusalama zinazohusiana na vita

    Wakuu, Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi. Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku...
  4. R

    Mbona mapema sana ? Baada ya Zelensky kukataa kusaini mkataba wa madini Marekani na kutimkia ulaya, kabadili msimamo yupo tayari kusaini,

    Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k. Zelensky alidhani kwamba baada ya kukimbia Marekani na kuelekea Ulaya angeliweza kupata msaada mkubwa zaidi, Lakini alijikuta na mshangao...
  5. Mindyou

    Baada ya Trump kumdhalilisha Zelensky, Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kuwa UK iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine

    Wakuu, Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi. Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko...
  6. Jidu La Mabambasi

    Tanzania tujifunze hili somo la vita ya Ukraine na Urusi: vita vyaweza kuuza nchi

    Kama kuna kitu nimejifunza kutokana na kurushiana maneno kati ya Trump na rais wa Marekani na Zelensky wa Ukraine, ni kwamba vita vinaweza kusanbabisha mtu kuuza nchi yake. Marekani imetumia pesa nyingi kumsaidia Ukraine kupambana na Urusi. Pesa hizo ziko kwa mfumo wa vifaa vya kijeshi na...
  7. S

    Marekani na Urusi zimetangaza kuunga mkono maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ukraine

    Katika hali ya kushangaza, Marekani iliungana na Urusi wakati wa upigaji kura katika baraza kuu la umoja wa mataifa kuhusu maazimio ya kuleta amani nchini Ukraine. Katika kura hizo zilizopigwa mnamo tarehe 24 Februari 2025, kwanza Marekani , Urusi pamoja na nchi nyingine kama Korea Kaskazini...
  8. S

    Tujifunze kupitia Zelenskyy na vita ya Ukraine

    Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe sehemu ya madini yake muhimu kwa Marekani Ili kufidia gharama za vita, Urusi kachukua maeneo muhimu...
  9. Mindyou

    Rasmi Urusi na Marekani wakutana Saudi Arabia kumaliza vita ya Ukraine, Zelensky hajaitwa kuhudhuria kikao

    Kipindi akiwa kwenye kampeni za kutafuta Urais mwaka 2024, Rais wa Marekani Donald Trump aliahidi kumaliza mgogoro kati ya Ukraine na Urusi Mwezi takribani mmoja baada ya kuapishwa, tayari mazungumzo yameanza kufanyika ili vita hiyo iliyoanza rasmi mwaka 2022 imalizike Jumanne ya leo Russia na...
  10. K

    Nasubiria kwa hamu vita ya Ukraine iishe nikatafute kazi

    Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi...
  11. Sir John Roberts

    Trump athibitisha kuongea na simu na Putin kwa zaidi ya saa 1 na nusu. Mazungumzo kati ya Putin na Zelensky yataanza mara moja!

    Kupitia akaunti yake ya Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump siku ya leo amesema kuwa amempigia simu Rais wa Urusi Vladimir Putin. Trump amesema kuwa simu yake na Putin imedumu zaidi ya saa 1 na nusu na kudokeza kuwa wawili hao wamekubaliana kufanya lazi pamoja. Katika ujumbe wake pia...
  12. I

    Kwa kauli hii ya Zelensky kuhusu misaada ni wazi kuwa upigaji na ubadhirifu haupo Afrika tu, hata Wazungu wanapiga

    Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump. Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77 tu zimefika kama misaada ndani ya Ukraine. Zelensky akizungumza na wanahabari hivi karibuni...
  13. sanalii

    Trump ameshashindwa kusitisha vita ya Ukraine kama alivyoahidi

    Aliahidi ndani ya saa 24 za kua ofisini atasitisha vitaa ya Ukraine, ila mpaka sasa ni kama ameshaona moto ni mkali sana. Zaidi alivyoondoa misaada Ukraine ndio Russia itajipigia zaidi. Huyu mzee kitu pekee anachoweza kukifanya ni kumridhisha Israel
  14. green rajab

    Utawala wa Trump wafuta misaada yote ya silaha kwa Ukraine na uchunguzi unafuata

    Marekani imeondoa maombi yote ya usafirishaji wa bidhaa kupitia Rzeszow, Constanta, na Varna kwa ajili ya Ukraine. Usafirishaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kwenda Ukraine kupitia kambi za NATO barani Ulaya umesitishwa. Kwa makadirio ya awali, hili linahusisha maelfu ya tani za silaha na...
  15. M

    Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  16. G

    Biden kabakiza miezi miwili mjengoni kaanza kumharibia nyumba mpangaji mpya, Kwa maksudi anaichochea vita ya Ukraine ili kumwangushia jumba bovu Trump

    Trump aliapa atawekeza nguvu kubwa kuleta makubaliano ya kuituliza vita ya Ukraine na Russia, Siku chache baada ya kushinda uraisi, Putin rais wa Urusi alisema yupo tayari kwa majadiliano ya kuimaliza vita. Hii imewauma sana Democrats, Kwamba Trump anaenda atajizolea points akiimaliza vita...
  17. Jidu La Mabambasi

    Vita ya Ukraine, Hamas na Gaza, vimewaondoa Democrats madarakani

    Siyo siri kwa sasa. Inaelekea Vita ya Ukraine haiungwi mkono na wamarekani. Na Trump aliahidi kuimaliza vita hii ndani ya siku moja kwa kukata misaada yote ya kivita kwa Ukraine. Trump mara kwa mara amesikikia akisema huyu bwana mdogo Zelensky kila akija Waashington anabeba kitita chetu cha...
  18. Mindyou

    Putin kaishiwa? Ripoti zinasema Russia yatumia wanajeshi wa North Korea kupigana vita ya Ukraine!

    Waziri wa ulinzi wa Korea Kusini, Kim Yong-hyun, amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba wanajeshi sita wa Korea Kaskazini waliuawa katika shambulizi la makombora nchini Ukraine karibu na Donetsk mnamo tarehe 3 Oktoba. Hii inakuja wakati ambapo mahusiano kati ya Pyongyang na Moscow yanazidi...
  19. Mindyou

    Trump: Nisiposhinda uchaguzi, vita ya Ukraine itakuwa ni vita ya 3 ya dunia!

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy katika jengo la Trump Tower huko New York mapema Ijumaa wiki hii na amemuahidi kumaliza haraka vita kati ya Urusi na Ukraine ikiwa atashinda kiti cha Urais wa Marekani. “Tuna uhusiano mzuri sana na pia...
Back
Top Bottom