Nimegundua watu wengi wako kwenye dini walizoko kwa mashinikizo ya kijamii na sio hiyari.
Nimeona vijana wawili walipohama kutoka katika dini zao za kikristo na kuhamia ukristo mwingine wazazi waliwakataa na kugoma kuwasaidia. Tena mmoja kaishia form 2.
Juzi nimemuona kijana mmoja Muislam kaja...
Kwema Wakuu!
Nimeona tujadili Jambo hapa kuhusu baadhi ya kauli za Watu hasa viongozi wa kisiasa wanaposema vitabu vitakatifu, sijajua wanazungumzia vitabu vipi.
Na hivyo vitabu vinavyozungumziwa je kisheria au Katiba ya nchi yetu inatambua kuna vitabu vitakatifu?
Nini vigezo vya kitabu...
Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya.
Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
Ahlan wa sahla
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu Torati, Zaburi, injili na Quran , Mungu amekemea sana kuhusu hii dhambi ya ushirikina.
Ama kwa hakika ndio amri ya kwanza aliyopewa Musa ktk zile amri kumi ili awaongoze wana wa izraeli.
Kwenye kitabu kitakatifu cha Quran vivyo hivyo imekemewa...
Nchi imekuwa ngumu kutawalika, tunawatafuta machifu Kwa lengo lakuwatumia Kwenye Siasa 2025. Hii inatokana na ukweli kwamba wale wanaoitwa machifu siyo viongozi wa kimila Bali ni wazee wastaafu wenye kadi ya Chama cha Mapinduzi. It's like Jumuiya ya wazazi imeshindwa kuaminika nakufanya kazi...
Eti haki sawa, haki sawa na nani? Mimi hata nikiitwa nina mfumo dume, nipo tayari. Wanaume wengi wamesahau na kupoteza nafasi zao na thamani zao na ndiyo maana wananyanyaswa mno.
Kwangu mimi ndiye kichwa cha nyumba, mke wangu hawezi kutoka kwenda matembezi au kwao bila ruhusa yangu, regardless...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.