Wakuu naomba kujua biashara ya vitafunwa kama inalipa.
Nina mtaji wa sh 300,000/= je, naweza kufanya biashara hii kwa mtaji huo, namaanisha vitafunwa kama maandazi, sambusa, chapati, eggchop, kababu nk: vitafunwa hivyo vikiambatana na juice, soda na maziwa.
Kwa aliyewahi kufanya biashara hii...