Msanii Vitalis Maembe aliyekamatwa na Polisi Novemba 2 kwa tuhuma za kuimba nyimbo zenye kuwakashifu viongozi amechiwa kwa dhamana
Maembe alitakiwa kuripoti kituo cha polisi Dunda mjini Bagamoyo ambapo baadae alihamishiwa Kibaha ambako ndiko alikoachiwa leo
Nawataka Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol kumwachia Huru mara moja ndugu Vitalis Maembe. Polisi Mkoa wa Pwani wamefanya la hovyo sana kumkamata Vitalis kutokana na kazi yake ya kisanii ya wimbo wa Kaisari. Haivumiliki na tunataka Vitalis aachiwe Huru SASA HIVI https://t.co/QKqRbVOrqm
Msanii Vitali Maembe amekamatwa Leo tar 02 November 2021 mjini Bagamoyo. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali.
Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali.
Tuendelee kuomba Msanii wa Umma aachiwe huru ili kuelimisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.