Kuni na mkaa ni vyanzo muhimu vya nishati kwa kupikia na kupasha joto, ambapo inakadiriwa kuwa 90% ya watanzania wanategemea kuni na mkaa kwa mahitaji ya nishati (HBS 2020 report). Pamoja na jitihada nyingi zinazofanywa na serikali, mashirika ya kitaifa na kimataifa ya kuhamasisha watu kutumia...