Juzi hapa kakamatwa kijana aliejifanya kuwa ni officer wa jeshi la JWTZ umri maika 24 kuna vitu JWTZ wanatakiwa kubadilisha cha kwanza vitamburisho
Vitambulisho vinavyotumiwa na wanajeshi wa JWTZ bado ni vyepesi mtu kutengeneza waige kutoka usalama wa taifa kile kitambulisho chao mpaka...
Kama mtanzania naandika hili machozi yakimwagika. Naumia kwa namna pesa nyingi za watanzania zilivyoteketea kwa kisingizio cha vitambulisho.
Kipindi cha Kikwete pesa zililiwa hadharani. Kipindi cha Magufuli Simba Chawane akasema inakuja mashine kubwa na tatizo litaisha.
Yawezekana limeisha...
Huko nchini Uganda baadhi ya watu wameendelewa kutiwa mikononi mwa polisi kuwa kumiliki nyaraka kama vile vitambulisho na passport za nchi hiyo ambazo ni feki. Polisi nchini humo inaeleza kuwa raia wengi wanaokamatwa wakimiliki nyaraka hizo ni kutoka nchi kama vile Rwanda, Burundi, Kenya, Sudan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.