Habari zenu wakuu, niliwahi kulala kwenye hoteli moja jijini mwanza ambayo ni miongoni mwa hoteli kubwa jijini mwanza kitu nilichovutiwa nacho ukiachilia mbali mambo mengine ni kitanda kwani hakikuwa vile vitanda nilivyozoea kuviona, nikianza kwenye kitanda chenyewe ni kirefu siyo ile futi 6...