Kwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa kodi, maswali ni mengi kuliko majibu.
Hivi likijifunga na watoto wako ndani inakuaje majanga yakitojea mfano ya moto?
Network ikizingua control namba ikawa inasumbua itakuaje?
Hata kama zitakupa alarm kodi ikikaribia kuisha ila huu ni ukatili...