vitasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Vitasa bora kwa ajili ya mageti ya mlangoni

    Wadau naomba kwa yeyote anaejua brand nzuri ya vitasa vya mageti ya mlangoni ambavyo ni imara na havina changamoto. Ukiwa na picha na bei zake itapendeza zaidi. Viwe visivyo na mikono, yani kuna sehemu ya ufunguo tu.
  2. VITASA VYA MLANGO KUFUNGUA KWA PASSWORD,FINGERPRINT,CARD NA APP-0746373222.

    SMART LOCK. Vitasa hivi ni matokeo ya ukuaji WA TEKNOLOJIA ikapelekea kutengenezwa Kwa vitasa vya milango vinavyo tumia mfumo maalum ili kufungua( password,finger,card na app ya simu). VITASA hivi havitegemei umeme WA Tanesco. Ndani ya kitasa Kuna battery nne ambazo hufanya KAZI Kwa takribani...
  3. Vitasa vya mlango kuchezewa na sioni mtu

    Mambo vipi? Kuna sehemu nimepanga ghetto room Moja vyumba vya nje ya nyumba kubwa ila Kuna uzio na nyumba kubwa wenyewe hawaishi wapo Tanga mjini ila uwa wanafikia wakija uku Bush Mimi nipo chumba Cha nje ya nyumba kubwa Leo bhana mida ya saa 3 nikiwa nimetulia ghetto tulii nikawa naskia kama...
  4. Azam hawezi kutumia jina lingine katika boxing hadi atumie "vitasa" ambayo ni ID ya mwamaluka

    Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi. Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta...
  5. Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
  6. Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  7. INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…