Nimejaribu kutafakari mnoo swala hili la matukio ya kikatili nchini hususani mikoani Dodoma😭 majibu kamilifu sina.
Ila Mimi naona kwa sector ya masuala ya Imani kumelegea mno🥲.
Watu hawana tena hofu ya Imani zao yaani Mungu 😒 kwa sababu kwa matukio haya.
Kwa kweli Watanzania hofu ya Mungu...
KWenye jambo hili la utekaji na mauaji halijaanza na ndugu Yetu Ali Kibao. Limekuwepo kwa muda sasa huku likilindwa na baadhi ya watu wente namlaka.
Kama kweli Rais unataka kuwapata wahusika kamili na kujua nafasi zao kwenye huu ushetani, ungetoa maelekezo wafuatao wakamatwe mara moja:
1)...
TAARIFA YA ROSTAM AZIZI KUFUATIA MAUAJI YA KIONGOZI WA KISIASA
Katika siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia kujirudia tena kwa matukio ya kikatili ambayo yamehusisha kuripotiwa kwa vitendo vya utekaji, utesaji na jana tukashuhudia tukio baya zaidi la mauaji ya kiongozi wa Chadema, Ndugu...
Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?
Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio...
Kuna mtu anaitwa Pius hapa Canada Bonyokwa amekuwa akiwafanyia vitendo vya kikatili watu tofauti tofauti
Hwa anawakamata bodaboda na kuwachukulia pesa kwa nguvu. Anachojivunia yeye kuwa ni mgambo pale Staki Shari hata ukienda kushtaki kesi yake inakuwa yako
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie...
Serikali itazame hili suala kwa jicho la tatu, ukatili unaoendelea katika jamii ni unyama wa hali ya juu, watoto wadogo kubakwa na kulawitiwa paka kufa (mtoto wa miezi sita DODOMA), mauaji ya binadamu(Mganga aliyepatikana na miili ya watu aliowazika hai), watu kupotea katika mazingira tatanishi...
Mzee mmoja ajulikanae kwa jina la Daniel Epiniel ambaye ni mpangaji katika nyumba ya Bwana Joseph Mollel iliyopo Kata ya Sekei jijijini Arusha, anashikiliwa na Polisi baada ya kutuhumiwa kuwarubuni watoto wadogo wa kiume chini ya umri wa miaka 10 wamwingilie kinyume na maumbile.
Mwenye Nyumba...
Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na takataka katika eneo hilo.
Tukio hilo la mwili kukutwa dampo limetokea Agosti, 24 mwaka huu
Hata hivyo...
Habari zenu wanajukwaa. Nimatumaini yangu kwamba mmeamka salama salmin.
Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba lipo sakata linalofanana na la binti wa Yombo ambapo limetokea wilayani Kilindi mkoani Tanga. Ni zaidi ya wiki kama tatu hivi tangu tukio hilo lifanyike lakini rushwa ndio inatembea...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani vikali kitendo cha kikatili cha unyanyasaji wa kijinsia kilichoripotiwa kumuhusu msichana mmoja kutoka Dar es Salaam,wilaya ya Temeke, Kata ya Makangarawe, Mitaa ya Msakala na Dovya, karibu na Shule ya Msingi Yombo Dovya.
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana na la kasi la wimbi la ushoga kwenye jamii yetu kuanzia kwenye familia, mtaani hadi mashuleni
Mwalimu wa kiume anapofikia hatua ya kumshawishi mwanafunzi wake amlawiti sio kwamba amekosa mabasha wa kumfanyia hivyo. Binafsi naamini anafanya hivyo kimkakati...
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.
Watuhumiwa hao ambao majina yao hayajatajwa wanadaiwa kumuua Victor Mwakapenda (41), mkazi wa mtaa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.